Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Oniasi, akasema, Huyu ni mpenda ndugu, mwenye kuwaombea kwa bidii sana watu wa mji mtakatifu; ndiye Yeremia, nabii wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Onia akasema: “Huyu, Yeremia, ni nabii wa Mungu, nabii ambaye anawapenda Wayahudi wenzake, na hutoa sala nyingi kwa ajili yetu na Yerusalemu, mji mtakatifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Onia akasema: “Huyu, Yeremia, ni nabii wa Mungu, nabii ambaye anawapenda Wayahudi wenzake, na hutoa sala nyingi kwa ajili yetu na Yerusalemu, mji mtakatifu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Oniasi, akasema, Huyu ni mpenda ndugu, mwenye kuwaombea kwa bidii sana watu wa mji mtakatifu; ndiye Yeremia, nabii wa Mungu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Onia akasema: “Huyu, Yeremia, ni nabii wa Mungu, nabii ambaye anawapenda Wayahudi wenzake, na hutoa sala nyingi kwa ajili yetu na Yerusalemu, mji mtakatifu.” Tazama sura |