Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Akatokea mtu mwingine, amesimama vivi hivi, amebainika kwa mvi zake na kwa utukufu wake, amevikwa adhama ya ajabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kisha, Yuda aliona mtu mwenye nywele nyeupe na wa kupendeza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kisha, Yuda aliona mtu mwenye nywele nyeupe na wa kupendeza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Akatokea mtu mwingine, amesimama vivi hivi, amebainika kwa mvi zake na kwa utukufu wake, amevikwa adhama ya ajabu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 Kisha, Yuda aliona mtu mwenye nywele nyeupe na wa kupendeza. Tazama sura |