Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Zaidi ya hayo, aliwachangamsha kwa kuwasimulia njozi iliyostahili kusadikiwa, maono ya namna hii: Alimwona Oniasi, yule aliyekuwa kuhani mkuu zamani, mtu mwema, muungwana, msharifu lakini mpole, mwenye maneno mazuri, aliyelelewa vizuri tangu utoto wake katika wema wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Aliwaeleza kwamba alikuwa amemwona katika ndoto Onia yule aliyekuwa zamani kuhani mkuu, mtu mwema na wa ajabu, mnyenyekevu na mpole, mtu aliyekuwa msemaji maarufu na ambaye alikuwa amefundishwa tangu utoto juu ya mambo mema kabisa, amenyosha mikono kuiombea jumuiya yote ya Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Aliwaeleza kwamba alikuwa amemwona katika ndoto Onia yule aliyekuwa zamani kuhani mkuu, mtu mwema na wa ajabu, mnyenyekevu na mpole, mtu aliyekuwa msemaji maarufu na ambaye alikuwa amefundishwa tangu utoto juu ya mambo mema kabisa, amenyosha mikono kuiombea jumuiya yote ya Wayahudi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Zaidi ya hayo, aliwachangamsha kwa kuwasimulia njozi iliyostahili kusadikiwa, maono ya namna hii: Alimwona Oniasi, yule aliyekuwa kuhani mkuu zamani, mtu mwema, muungwana, msharifu lakini mpole, mwenye maneno mazuri, aliyelelewa vizuri tangu utoto wake katika wema wote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Aliwaeleza kwamba alikuwa amemwona katika ndoto Onia yule aliyekuwa zamani kuhani mkuu, mtu mwema na wa ajabu, mnyenyekevu na mpole, mtu aliyekuwa msemaji maarufu na ambaye alikuwa amefundishwa tangu utoto juu ya mambo mema kabisa, amenyosha mikono kuiombea jumuiya yote ya Wayahudi. Tazama sura |