Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Alimvika kila mtu nguvu – siyo matumaini yaliyowekwa kwa ngao na mikuki, bali ushujaa uletwao kwa maneno mema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Aliwahimiza wawe hodari, si kwa kutegemea ngao na mikuki, bali kwa maneno ya ujasiri ya kutia moyo. Pia aliwachangamsha wote kwa kuwasimulia ndoto - aina ya maono aliyokuwa amepata, ambayo ilistahili kusadikiwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Aliwahimiza wawe hodari, si kwa kutegemea ngao na mikuki, bali kwa maneno ya ujasiri ya kutia moyo. Pia aliwachangamsha wote kwa kuwasimulia ndoto - aina ya maono aliyokuwa amepata, ambayo ilistahili kusadikiwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Alimvika kila mtu nguvu – siyo matumaini yaliyowekwa kwa ngao na mikuki, bali ushujaa uletwao kwa maneno mema. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Aliwahimiza wawe hodari, si kwa kutegemea ngao na mikuki, bali kwa maneno ya ujasiri ya kutia moyo. Pia aliwachangamsha wote kwa kuwasimulia ndoto - aina ya maono aliyokuwa amepata, ambayo ilistahili kusadikiwa. Tazama sura |