Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Akiisha kuwakuza moyo aliwapa maagizo yake akiwakumbusha uhaini wa watu wa mataifa, na jinsi wavunjavyo viapo vyao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Watu wake walipokuwa tayari kwa mapigano, aliwapa maagizo yake, akiwaonesha jinsi watu wa mataifa mengine walivyokuwa hawaaminiki, kwa sababu hawakushika mikataba yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Watu wake walipokuwa tayari kwa mapigano, aliwapa maagizo yake, akiwaonesha jinsi watu wa mataifa mengine walivyokuwa hawaaminiki, kwa sababu hawakushika mikataba yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Akiisha kuwakuza moyo aliwapa maagizo yake akiwakumbusha uhaini wa watu wa mataifa, na jinsi wavunjavyo viapo vyao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA10 Watu wake walipokuwa tayari kwa mapigano, aliwapa maagizo yake, akiwaonesha jinsi watu wa mataifa mengine walivyokuwa hawaaminiki, kwa sababu hawakushika mikataba yao. Tazama sura |