Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 15:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Nikano aliposikia ya kuwa Yuda na watu wake wako katika nchi ya Samaria, alifanya shauri kuwashambulia bila hatari siku ya kupumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Nikanori aliposikia kwamba Yuda na watu wake walikuwa sehemu za Samaria, alifanya mpango kuwashambulia siku ya Sabato, wakati ambapo walikuwa wamepumzika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Nikanori aliposikia kwamba Yuda na watu wake walikuwa sehemu za Samaria, alifanya mpango kuwashambulia siku ya Sabato, wakati ambapo walikuwa wamepumzika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Nikano aliposikia ya kuwa Yuda na watu wake wako katika nchi ya Samaria, alifanya shauri kuwashambulia bila hatari siku ya kupumzika. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Nikanori aliposikia kwamba Yuda na watu wake walikuwa sehemu za Samaria, alifanya mpango kuwashambulia siku ya Sabato, wakati ambapo walikuwa wamepumzika. Tazama sura |