Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Basi, mfalme, nakusihi, uzichunguze habari hizi, ufanye unavyoona vema kwa ajili ya nchi yetu na taifa letu lililodhikika, sawasawa na hisani yako uoneshayo kwa wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Basi, nakusihi, ewe mfalme, kuyachunguza kwa makini mambo hayo yote, kisha ufanye chochote kadiri ya hisani yako ya siku zote ili kuondoa huo ukandamizaji na unyanyasaji wa taifa letu na watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Basi, nakusihi, ewe mfalme, kuyachunguza kwa makini mambo hayo yote, kisha ufanye chochote kadiri ya hisani yako ya siku zote ili kuondoa huo ukandamizaji na unyanyasaji wa taifa letu na watu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Basi, mfalme, nakusihi, uzichunguze habari hizi, ufanye unavyoona vema kwa ajili ya nchi yetu na taifa letu lililodhikika, sawasawa na hisani yako uoneshayo kwa wote. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Basi, nakusihi, ewe mfalme, kuyachunguza kwa makini mambo hayo yote, kisha ufanye chochote kadiri ya hisani yako ya siku zote ili kuondoa huo ukandamizaji na unyanyasaji wa taifa letu na watu wake. Tazama sura |