Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 kwa sababu ya upendo wa kweli nilio nao kwa mambo ya mfalme, na nia yangu njema kwa raia wenzangu. Maana kwa matata ya wale niliowataja, taifa letu lote limo taabuni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 kwanza kabisa kwa sababu ninakujali sana wewe mfalme, na pili kwa sababu nawaonea huruma wananchi wenzangu, maana kutokana na fujo za kijinga za akina Yuda, taifa zima limo taabuni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 kwanza kabisa kwa sababu ninakujali sana wewe mfalme, na pili kwa sababu nawaonea huruma wananchi wenzangu, maana kutokana na fujo za kijinga za akina Yuda, taifa zima limo taabuni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 kwa sababu ya upendo wa kweli nilio nao kwa mambo ya mfalme, na nia yangu njema kwa raia wenzangu. Maana kwa matata ya wale niliowataja, taifa letu lote limo taabuni. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 kwanza kabisa kwa sababu ninakujali sana wewe mfalme, na pili kwa sababu nawaonea huruma wananchi wenzangu, maana kutokana na fujo za kijinga za akina Yuda, taifa zima limo taabuni. Tazama sura |