Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Ndiyo sababu mimi, niliyetwaliwa utukufu wangu wa asili, yaani ukuhani mkuu, nimekuja hapa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Ni kosa lao kwamba mimi sina tena ule wadhifa wa kuhani mkuu, ambao ninastahili kwa kuzaliwa. Na hivi nimekuja hapa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Ni kosa lao kwamba mimi sina tena ule wadhifa wa kuhani mkuu, ambao ninastahili kwa kuzaliwa. Na hivi nimekuja hapa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ndiyo sababu mimi, niliyetwaliwa utukufu wangu wa asili, yaani ukuhani mkuu, nimekuja hapa, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA7 Ni kosa lao kwamba mimi sina tena ule wadhifa wa kuhani mkuu, ambao ninastahili kwa kuzaliwa. Na hivi nimekuja hapa, Tazama sura |