Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Wale Wayahudi waitwao Hasidimu, ambao kiongozi wao ni Yuda Makabayo, ndio wanaochochea vita na uasi, wasiiache nchi itulie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Wale Wayahudi wanaoitwa Wahasidi, ambao kiongozi wao ni Yuda Makabayo, ndio wanaochochea vita na maasi, hata taifa haliwezi kuwa na amani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Wale Wayahudi wanaoitwa Wahasidi, ambao kiongozi wao ni Yuda Makabayo, ndio wanaochochea vita na maasi, hata taifa haliwezi kuwa na amani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Wale Wayahudi waitwao Hasidimu, ambao kiongozi wao ni Yuda Makabayo, ndio wanaochochea vita na uasi, wasiiache nchi itulie. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 “Wale Wayahudi wanaoitwa Wahasidi, ambao kiongozi wao ni Yuda Makabayo, ndio wanaochochea vita na maasi, hata taifa haliwezi kuwa na amani. Tazama sura |