Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 14:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

5 Lakini alipopata nafasi ya kutimiza kusudi lake ka kijinga – yaani, alipoitwa na Demetrio barazani na kuulizwa nia ya Wayahudi na makusudi yao – alijibu hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Hata hivyo, baadaye alipata fursa ya kutekeleza mipango yake ya kipumbavu. Basi, Demetrio alikuwa na mkutano na washauri wake. Akamwita Alkimo mkutanoni na kumwuliza Wayahudi walikuwa wananuia kufanya nini. Ndipo Alkimo akasema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Hata hivyo, baadaye alipata fursa ya kutekeleza mipango yake ya kipumbavu. Basi, Demetrio alikuwa na mkutano na washauri wake. Akamwita Alkimo mkutanoni na kumwuliza Wayahudi walikuwa wananuia kufanya nini. Ndipo Alkimo akasema:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Lakini alipopata nafasi ya kutimiza kusudi lake ka kijinga – yaani, alipoitwa na Demetrio barazani na kuulizwa nia ya Wayahudi na makusudi yao – alijibu hivi:

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

5 Hata hivyo, baadaye alipata fursa ya kutekeleza mipango yake ya kipumbavu. Basi, Demetrio alikuwa na mkutano na washauri wake. Akamwita Alkimo mkutanoni na kumwuliza Wayahudi walikuwa wananuia kufanya nini. Ndipo Alkimo akasema:

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 14:5
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo