Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 14:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

46 akasimama juu ya mwamba mrefu, ametokwa na damu karibu yote. Akang'oa matumbo yake, akayashika kwa mikono miwili, akawatupia makutano. Hivyo alikufa, akimwita Yeye aliye BWANA wa maisha na roho ayarudishe kwake tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Hapo, akiwa hana tone la damu mwilini, alirarua matumbo yake kwa mikono miwili, akawatupia hao watu, huku anasali kumwomba Bwana wa uhai amrudishie matumbo hayo. Hivyo ndivyo alivyokufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Hapo, akiwa hana tone la damu mwilini, alirarua matumbo yake kwa mikono miwili, akawatupia hao watu, huku anasali kumwomba Bwana wa uhai amrudishie matumbo hayo. Hivyo ndivyo alivyokufa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

46 akasimama juu ya mwamba mrefu, ametokwa na damu karibu yote. Akang'oa matumbo yake, akayashika kwa mikono miwili, akawatupia makutano. Hivyo alikufa, akimwita Yeye aliye BWANA wa maisha na roho ayarudishe kwake tena.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

46 Hapo, akiwa hana tone la damu mwilini, alirarua matumbo yake kwa mikono miwili, akawatupia hao watu, huku anasali kumwomba Bwana wa uhai amrudishie matumbo hayo. Hivyo ndivyo alivyokufa.

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 14:46
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo