Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC45 Akasimama, angali yu hai, hasira yake ikiwaka kama moto; hata, ingawa damu yake ilikuwa ikibubujika, naye alijeruhiwa vibaya, alikimbia upesi katikati ya watu waliosongana, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 Akiwa bado hai, na anawaka kwa hasira, Razi aliinuka, na huku damu zinabubujika kutoka majeraha yake, akakimbia katikati ya msongamano wa watu, akapanda juu ya mwamba mrefu na kusimama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 Akiwa bado hai, na anawaka kwa hasira, Razi aliinuka, na huku damu zinabubujika kutoka majeraha yake, akakimbia katikati ya msongamano wa watu, akapanda juu ya mwamba mrefu na kusimama. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI45 Akasimama, angali yu hai, hasira yake ikiwaka kama moto; hata, ingawa damu yake ilikuwa ikibubujika, naye alijeruhiwa vibaya, alikimbia upesi katikati ya watu waliosongana, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA45 Akiwa bado hai, na anawaka kwa hasira, Razi aliinuka, na huku damu zinabubujika kutoka majeraha yake, akakimbia katikati ya msongamano wa watu, akapanda juu ya mwamba mrefu na kusimama. Tazama sura |