Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC44 Hao wakarudi nyuma upesi, wakiacha nafasi, akaanguka chini, mahali pa wazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Haraka watu wakarudi nyuma, na Razi akaangukia pakavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Haraka watu wakarudi nyuma, na Razi akaangukia pakavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Hao wakarudi nyuma upesi, wakiacha nafasi, akaanguka chini, mahali pa wazi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA44 Haraka watu wakarudi nyuma, na Razi akaangukia pakavu. Tazama sura |