Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Lakini kwa sababu ya haraka, pigo lake halikuingia sawasawa; kwa hiyo, watu walipokuwa wakijivurumisha mlangoni, alikimbilia ukutani akajitupa chini katikati ya mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Katika kuzidiwa na mambo, Razi alikuwa hajajichoma sawasawa upanga wake, na hivi hakuwa amekufa. Basi, askari walipokuwa wanafurika kuingia ndani, Razi akafyatuka mbio na kuruka ukuta, akajitupa kwa ushujaa, juu ya kundi la watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Katika kuzidiwa na mambo, Razi alikuwa hajajichoma sawasawa upanga wake, na hivi hakuwa amekufa. Basi, askari walipokuwa wanafurika kuingia ndani, Razi akafyatuka mbio na kuruka ukuta, akajitupa kwa ushujaa, juu ya kundi la watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Lakini kwa sababu ya haraka, pigo lake halikuingia sawasawa; kwa hiyo, watu walipokuwa wakijivurumisha mlangoni, alikimbilia ukutani akajitupa chini katikati ya mkutano. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA43 Katika kuzidiwa na mambo, Razi alikuwa hajajichoma sawasawa upanga wake, na hivi hakuwa amekufa. Basi, askari walipokuwa wanafurika kuingia ndani, Razi akafyatuka mbio na kuruka ukuta, akajitupa kwa ushujaa, juu ya kundi la watu. Tazama sura |