Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Lakini askari walipokwisha kuuvunja mlango wa nje wakawa tayari kuutwaa mnara, wakiagiza moto wa kuichomea milango, yeye, akiona amezungukwa pande zote, aliuangukia upanga wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Askari walivunja mlango wa nje, wakawa tayari kuuteka mnara. Wakaagiza moto uletwe, na milango kuchomwa. Razi alijikuta amezungukwa na maadui, akajaribu kujiua kwa upanga wake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Askari walivunja mlango wa nje, wakawa tayari kuuteka mnara. Wakaagiza moto uletwe, na milango kuchomwa. Razi alijikuta amezungukwa na maadui, akajaribu kujiua kwa upanga wake; Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Lakini askari walipokwisha kuuvunja mlango wa nje wakawa tayari kuutwaa mnara, wakiagiza moto wa kuichomea milango, yeye, akiona amezungukwa pande zote, aliuangukia upanga wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA41 Askari walivunja mlango wa nje, wakawa tayari kuuteka mnara. Wakaagiza moto uletwe, na milango kuchomwa. Razi alijikuta amezungukwa na maadui, akajaribu kujiua kwa upanga wake; Tazama sura |