Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Kwa hiyo alimjia mfalme Demetrio, kunako mwaka mia moja na hamsini, akimletea zawadi ya taji la dhahabu na jani la mtende, pamoja na matawi ya mizeituni ya hekaluni. Siku ile hakusema neno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Alkimo alimwendea mfalme Demetrio, mwaka 151. Kwa nafasi hiyo alimpatia mfalme zawadi hizi: Taji ya dhahabu, tawi la mtende, na matawi ya mizeituni ambayo kijadi yalitolewa kwa hekalu. Lakini hakusema lolote juu ya mipango yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Alkimo alimwendea mfalme Demetrio, mwaka 151. Kwa nafasi hiyo alimpatia mfalme zawadi hizi: taji ya dhahabu, tawi la mtende, na matawi ya mizeituni ambayo kijadi yalitolewa kwa hekalu. Lakini hakusema lolote juu ya mipango yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Kwa hiyo alimjia mfalme Demetrio, kunako mwaka wa mia moja na hamsini, akimletea zawadi ya taji la dhahabu na jani la mtende, pamoja na matawi ya mizeituni ya hekaluni. Siku ile hakusema neno. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Alkimo alimwendea mfalme Demetrio, mwaka 151. Kwa nafasi hiyo alimpatia mfalme zawadi hizi: Taji ya dhahabu, tawi la mtende, na matawi ya mizeituni ambayo kijadi yalitolewa kwa hekalu. Lakini hakusema lolote juu ya mipango yake. Tazama sura |