Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Basi, Nikano, akitaka kuudhihirisha uadui wake kwa Wayahudi, alipeleka askari zaidi ya mia tano kumkamata; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Ili kuonesha wazi jinsi alivyowachukia Wayahudi, Nikanori alituma askari zaidi ya 500 kwenda kumkamata Razi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Ili kuonesha wazi jinsi alivyowachukia Wayahudi, Nikanori alituma askari zaidi ya 500 kwenda kumkamata Razi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Basi, Nikano, akitaka kuudhihirisha uadui wake kwa Wayahudi, alipeleka askari zaidi ya mia tano kumkamata; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA39 Ili kuonesha wazi jinsi alivyowachukia Wayahudi, Nikanori alituma askari zaidi ya 500 kwenda kumkamata Razi, Tazama sura |