Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Katika siku za kwanza za matata alikuwa ameshtakiwa kwa kuwa ni Myahudi, naye alijihatarisha mwili wake na maisha yake kwa ushujaa mwingi kwa ajili ya Uyahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Siku za mwanzo za mapinduzi alikuwa amejitoa mhanga maisha yake kwa ajili ya dini ya Kiyahudi, na alikuwa ameshtakiwa kwa sababu hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Siku za mwanzo za mapinduzi alikuwa amejitoa mhanga maisha yake kwa ajili ya dini ya Kiyahudi, na alikuwa ameshtakiwa kwa sababu hiyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Katika siku za kwanza za matata alikuwa ameshtakiwa kwa kuwa ni Myahudi, naye alijihatarisha mwili wake na maisha yake kwa ushujaa mwingi kwa ajili ya Uyahudi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA38 Siku za mwanzo za mapinduzi alikuwa amejitoa mhanga maisha yake kwa ajili ya dini ya Kiyahudi, na alikuwa ameshtakiwa kwa sababu hiyo. Tazama sura |