Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Kulikuwa na mtu mmoja, mzee wa Yerusalemu, jina lake Razisi, aliyeshtakiwa kwa Nikano. Alikuwa mpenda nchi yake, mtu mwenye sifa njema, aliyeitwa Baba wa Wayahudi kwa sababu ya hisani yake kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Mmoja wa viongozi wa Yerusalemu, mtu aliyeitwa Razi, alishtakiwa kwa Nikanori. Ilisemwa kwamba Razi alikuwa amewasaidia watu wake kwa namna nyingi, na kwamba watu walimheshimu hivi hata wakawa wanamwita “Baba wa Wayahudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Mmoja wa viongozi wa Yerusalemu, mtu aliyeitwa Razi, alishtakiwa kwa Nikanori. Ilisemwa kwamba Razi alikuwa amewasaidia watu wake kwa namna nyingi, na kwamba watu walimheshimu hivi hata wakawa wanamwita “Baba wa Wayahudi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Kulikuwa na mtu mmoja, mzee wa Yerusalemu, jina lake Razisi, aliyeshtakiwa kwa Nikano. Alikuwa mpenda nchi yake, mtu mwenye sifa njema, aliyeitwa Baba wa Wayahudi kwa sababu ya hisani yake kwao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA37 Mmoja wa viongozi wa Yerusalemu, mtu aliyeitwa Razi, alishtakiwa kwa Nikanori. Ilisemwa kwamba Razi alikuwa amewasaidia watu wake kwa namna nyingi, na kwamba watu walimheshimu hivi hata wakawa wanamwita “Baba wa Wayahudi.” Tazama sura |