Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Basi, Ee BWANA mtakatifu, utakasaye vyote, uilinde safi daima nyumba hii iliyotakaswa hivi karibuni tu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Kwa hiyo ewe Mtakatifu, Bwana wa utakatifu wote, ulilinde milele hili hekalu ambalo limetakaswa tu hivi punde, lisitiwe najisi tena.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Kwa hiyo ewe Mtakatifu, Bwana wa utakatifu wote, ulilinde milele hili hekalu ambalo limetakaswa tu hivi punde, lisitiwe najisi tena.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Basi, Ee BWANA mtakatifu, utakasaye vyote, uilinde safi daima nyumba hii iliyotakaswa hivi karibuni tu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA36 Kwa hiyo ewe Mtakatifu, Bwana wa utakatifu wote, ulilinde milele hili hekalu ambalo limetakaswa tu hivi punde, lisitiwe najisi tena.” Tazama sura |