Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Ee BWANA, wewe usiye na haja ya ulimwengu umependa pawepo mahali patakatifu ili ukae miongoni mwetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 “Bwana wa watu wote, ingawa wewe huhitaji chochote, ilikupendeza kuliweka hekalu lako hapa, na kukaa miongoni mwetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 “Bwana wa watu wote, ingawa wewe huhitaji chochote, ilikupendeza kuliweka hekalu lako hapa, na kukaa miongoni mwetu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Ee BWANA, wewe usiye na haja ya ulimwengu umependa pawepo mahali patakatifu ili ukae miongoni mwetu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA35 “Bwana wa watu wote, ingawa wewe huhitaji chochote, ilikupendeza kuliweka hekalu lako hapa, na kukaa miongoni mwetu. Tazama sura |