Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 alinyosha mkono wake wa kuume kwenye patakatifu akaapa kiapo hiki: Kama msipomtoa Yuda mfungwa kwangu, nitaiangusha nyumba hii ya Mungu hata nchi, na kuivunja madhabahu, na kujenga hapa hekalu la Dioniso watu wote walione. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Ndipo Nikanori akanyosha mkono wake wa kulia kuelekea hekalu, akaapa: “Msipomtoa Yuda na kumkabidhi kwangu kama mfungwa, nitalibomoa na kulipondaponda hili hekalu la Mungu; nitaivunjilia mbali hii madhabahu, na kujenga mahali hapahapa hekalu tukufu la Dionisio.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Ndipo Nikanori akanyosha mkono wake wa kulia kuelekea hekalu, akaapa: “Msipomtoa Yuda na kumkabidhi kwangu kama mfungwa, nitalibomoa na kulipondaponda hili hekalu la Mungu; nitaivunjilia mbali hii madhabahu, na kujenga mahali hapahapa hekalu tukufu la Dionisio.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 alinyosha mkono wake wa kuume kwenye patakatifu akaapa kiapo hiki: Kama msipomtoa Yuda mfungwa kwangu, nitaiangusha nyumba hii ya Mungu hata nchi, na kuivunja madhabahu, na kujenga hapa hekalu la Dioniso watu wote walione. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA33 Ndipo Nikanori akanyosha mkono wake wa kulia kuelekea hekalu, akaapa: “Msipomtoa Yuda na kumkabidhi kwangu kama mfungwa, nitalibomoa na kulipondaponda hili hekalu la Mungu; nitaivunjilia mbali hii madhabahu, na kujenga mahali hapahapa hekalu tukufu la Dionisio.” Tazama sura |