Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Basi huyo, alipofahamu ya kuwa ameshindwa kishujaa kwa werevu wa Yuda, alikwenda kwenye hekalu takatifu, lililo kuu, wakati makuhani walipokuwa wakitoa dhabihu za kawaida, akawaambia wamtolee yule mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Nikanori alipogundua kwamba Yuda alikuwa amemshinda kwa werevu, akaenda kwenye hekalu kuu na takatifu wakati makuhani wanatolea tambiko, akawaamuru wamlete Yuda kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Nikanori alipogundua kwamba Yuda alikuwa amemshinda kwa werevu, akaenda kwenye hekalu kuu na takatifu wakati makuhani wanatolea tambiko, akawaamuru wamlete Yuda kwake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Basi huyo, alipofahamu ya kuwa ameshindwa kishujaa kwa werevu wa Yuda, alikwenda kwenye hekalu takatifu, lililo kuu, wakati makuhani walipokuwa wakitoa dhabihu za kawaida, akawaambia wamtolee yule mtu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA31 Nikanori alipogundua kwamba Yuda alikuwa amemshinda kwa werevu, akaenda kwenye hekalu kuu na takatifu wakati makuhani wanatolea tambiko, akawaamuru wamlete Yuda kwake. Tazama sura |