Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Makabayo, kwa upande wake, aliona ya kuwa Nikano hana mazungumzo naye kama kwanza, bali anaanza kumwonesha ukali, akafahamu ya kuwa ukimya huo ni dalili mbaya. Basi, akakusanya idadi kubwa ya wafuasi wake, wakaenda kujificha, Nikano asiwapate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Yuda Makabayo, alipotambua kwamba Nikanori alianza kuwa na tahadhari katika uhusiano wao na kwamba alikutana naye kwa ukali kuliko alivyokuwa hapo mbele, akajua kuwa kuna kasoro fulani. Basi, akakusanya idadi kubwa ya wafuasi wake, akaenda kujificha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Yuda Makabayo, alipotambua kwamba Nikanori alianza kuwa na tahadhari katika uhusiano wao na kwamba alikutana naye kwa ukali kuliko alivyokuwa hapo mbele, akajua kuwa kuna kasoro fulani. Basi, akakusanya idadi kubwa ya wafuasi wake, akaenda kujificha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Makabayo, kwa upande wake, aliona ya kuwa Nikano hana mazungumzo naye kama kwanza, bali anaanza kumwonesha ukali, akafahamu ya kuwa ukimya huo ni dalili mbaya. Basi, akakusanya idadi kubwa ya wafuasi wake, wakaenda kujificha, Nikano asiwapate. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA30 Yuda Makabayo, alipotambua kwamba Nikanori alianza kuwa na tahadhari katika uhusiano wao na kwamba alikutana naye kwa ukali kuliko alivyokuwa hapo mbele, akajua kuwa kuna kasoro fulani. Basi, akakusanya idadi kubwa ya wafuasi wake, akaenda kujificha. Tazama sura |