Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Basi, kulikuwa na mtu mmoja Alkimo, kuhani mkuu wa zamani, aliyejitia unajisi kwa hiari yake mwenyewe wakati wa matata. Huyu alijua ya kuwa yumo sasa katika hatari, wala hataweza tena kuiendea madhabahu takatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kulikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Alkimo. Kabla yake alikuwa kuhani mkuu, ambaye kwa furaha alikuwa amekubali kuishi kama Wagiriki wakati ule wa maasi. Akitambua kwamba asingeweza tena kamwe kuwa kuhani mkuu, na kwamba alikuwa katika hatari, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kulikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Alkimo. Kabla yake alikuwa kuhani mkuu, ambaye kwa furaha alikuwa amekubali kuishi kama Wagiriki wakati ule wa maasi. Akitambua kwamba asingeweza tena kamwe kuwa kuhani mkuu, na kwamba alikuwa katika hatari, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi, kulikuwa na mtu mmoja Alkimo, kuhani mkuu wa zamani, aliyejitia unajisi kwa hiari yake mwenyewe wakati wa matata. Huyu alijua ya kuwa yumo sasa katika hatari, wala hataweza tena kuiendea madhabahu takatifu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Kulikuwa na mtu mmoja aliyeitwa Alkimo. Kabla yake alikuwa kuhani mkuu, ambaye kwa furaha alikuwa amekubali kuishi kama Wagiriki wakati ule wa maasi. Akitambua kwamba asingeweza tena kamwe kuwa kuhani mkuu, na kwamba alikuwa katika hatari, Tazama sura |