Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Nikano alipopata maagizo hayo alitunduwaa; akafadhaika sana alipofikiri jinsi itakavyompasa kuyavunja mapatano waliyoyafanya, hali yule mtu hana kosa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Taarifa hiyo ilipomfikia, Nikanori aliumia sana moyoni, asijue la kufanya, kwa sababu hakutaka kuvunja mkataba na mtu aliyekuwa ameshika masharti yote kwa upande wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Taarifa hiyo ilipomfikia, Nikanori aliumia sana moyoni, asijue la kufanya, kwa sababu hakutaka kuvunja mkataba na mtu aliyekuwa ameshika masharti yote kwa upande wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Nikano alipopata maagizo hayo aliduwaa; akafadhaika sana alipofikiri jinsi itakavyompasa kuyavunja mapatano waliyoyafanya, hali yule mtu hana kosa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA28 Taarifa hiyo ilipomfikia, Nikanori aliumia sana moyoni, asijue la kufanya, kwa sababu hakutaka kuvunja mkataba na mtu aliyekuwa ameshika masharti yote kwa upande wake. Tazama sura |