Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Mfalme akaghadhibika, na kwa jinsi alivyotiwa hasira kwa masingizio ya huyo mlaghai, alimwandikia Nikano kumwarifu ya kuwa yale mapatano hayampendezi na kumwamuru ampeleke Makabayo mfungwa mpaka Antiokia bila kukawia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Mashtaka hayo ya uongo yalimkasirisha sana mfalme. Katika ghadhabu yake, mfalme akamwandikia Nikanori, akimwarifu ya kwamba hakuwa ameridhishwa na ule mkataba, na hivi alimwamuru ampeleke Yuda Makabayo kama mfungwa Antiokia bila kuchelewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Mashtaka hayo ya uongo yalimkasirisha sana mfalme. Katika ghadhabu yake, mfalme akamwandikia Nikanori, akimwarifu ya kwamba hakuwa ameridhishwa na ule mkataba, na hivi alimwamuru ampeleke Yuda Makabayo kama mfungwa Antiokia bila kuchelewa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Mfalme akaghadhibika, na kwa jinsi alivyotiwa hasira kwa masingizio ya huyo mlaghai, alimwandikia Nikano kumwarifu ya kuwa yale mapatano hayampendezi na kumwamuru ampeleke Makabayo mfungwa mpaka Antiokia bila kukawia. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA27 Mashtaka hayo ya uongo yalimkasirisha sana mfalme. Katika ghadhabu yake, mfalme akamwandikia Nikanori, akimwarifu ya kwamba hakuwa ameridhishwa na ule mkataba, na hivi alimwamuru ampeleke Yuda Makabayo kama mfungwa Antiokia bila kuchelewa. Tazama sura |