Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Lakini Alkimo, alipoona walivyofanyana urafiki, alijipatia masharti ya yale mapatano yaliyofanyika, akamwendea Demetrio. Akamwarifu kwamba Nikano hana nia njema kwa ufalme, madhali amemweka yule mfitini Yuda awe mrithi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Alkimo alipoona Nikanori na Yuda wanapatana vizuri, akatwaa nakala ya mkataba ule, akamwendea mfalme Demetrio. Alimwambia mfalme kwamba Nikanori hakuwa mwaminifu kwa serikali, kwa sababu alikuwa amemteua msaliti Yuda ashike utawala baada yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Alkimo alipoona Nikanori na Yuda wanapatana vizuri, akatwaa nakala ya mkataba ule, akamwendea mfalme Demetrio. Alimwambia mfalme kwamba Nikanori hakuwa mwaminifu kwa serikali, kwa sababu alikuwa amemteua msaliti Yuda ashike utawala baada yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Lakini Alkimo, alipoona walivyofanyana urafiki, alijipatia masharti ya yale mapatano yaliyofanyika, akamwendea Demetrio. Akamwarifu kwamba Nikano hana nia njema kwa ufalme, madhali amemweka yule mfitini Yuda awe mrithi wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA26 Alkimo alipoona Nikanori na Yuda wanapatana vizuri, akatwaa nakala ya mkataba ule, akamwendea mfalme Demetrio. Alimwambia mfalme kwamba Nikanori hakuwa mwaminifu kwa serikali, kwa sababu alikuwa amemteua msaliti Yuda ashike utawala baada yake. Tazama sura |