Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Yuda alisimamisha watu wenye silaha tayari katika mahali pa kufaa, isije labda ikatokea uhaini upande wa adui. Wakashauriana kama ilivyopasa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Yuda alikuwa amefanya tahadhari. Aliwaweka askari wenye silaha sehemu muhimu, maadui wasije wakamfanyia jeuri. Lakini hao viongozi wawili walikutana na kuongea vizuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Yuda alikuwa amefanya tahadhari. Aliwaweka askari wenye silaha sehemu muhimu, maadui wasije wakamfanyia jeuri. Lakini hao viongozi wawili walikutana na kuongea vizuri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Yuda alisimamisha watu wenye silaha tayari katika mahali pa kufaa, isije labda ikatokea uhaini upande wa adui. Wakashauriana kama ilivyopasa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA22 Yuda alikuwa amefanya tahadhari. Aliwaweka askari wenye silaha sehemu muhimu, maadui wasije wakamfanyia jeuri. Lakini hao viongozi wawili walikutana na kuongea vizuri. Tazama sura |