Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Wakaweka siku ya kukutana peke yao. Machela ikachukuliwa mbele kutoka kila jeshi, na viti vya enzi vikawekwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Halafu ilipangwa siku ya viongozi kukutana faraghani. Viti vya heshima vililetwa kutoka kila kambi, vikapangwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Halafu ilipangwa siku ya viongozi kukutana faraghani. Viti vya heshima vililetwa kutoka kila kambi, vikapangwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Wakaweka siku ya kukutana peke yao. Machela ikachukuliwa mbele kutoka kila jeshi, na viti vya enzi vikawekwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA21 Halafu ilipangwa siku ya viongozi kukutana faraghani. Viti vya heshima vililetwa kutoka kila kambi, vikapangwa. Tazama sura |