Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Masharti yakiisha fikiriwa, na kiongozi akiisha kuwaridhia watu wake, mapatano yalikubaliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Masharti ya mkataba yalishughulikiwa katika vipengee vyake vyote. Na Nikanori alipowafahamisha askari wake, walikubaliana kwa kauli moja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Masharti ya mkataba yalishughulikiwa katika vipengee vyake vyote. Na Nikanori alipowafahamisha askari wake, walikubaliana kwa kauli moja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Masharti yakiisha fikiriwa, na kiongozi akiisha kuwaridhia watu wake, mapatano yalikubaliwa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA20 Masharti ya mkataba yalishughulikiwa katika vipengee vyake vyote. Na Nikanori alipowafahamisha askari wake, walikubaliana kwa kauli moja. Tazama sura |