Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 baada ya kuwaua Antioko na mtunzaji wake Lisia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 na kwamba alikuwa amemuua mfalme Antioko na Lisia mlinzi wa mfalme, na kuitwaa nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 na kwamba alikuwa amemuua mfalme Antioko na Lisia mlinzi wa mfalme, na kuitwaa nchi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 baada ya kuwaua Antioko na mtunzaji wake Lisia. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA2 na kwamba alikuwa amemuua mfalme Antioko na Lisia mlinzi wa mfalme, na kuitwaa nchi. Tazama sura |