Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Kwa hiyo aliwatuma Posidonio na Theodoro na Matathia wapeane nao yamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hivyo akawatuma Posidonio, Theodoto na Matathia kwenda kufanya mkataba na Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hivyo akawatuma Posidonio, Theodoto na Matathia kwenda kufanya mkataba na Wayahudi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Kwa hiyo aliwatuma Posidonio na Theodoro na Matathia wapeane nao yamini. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA19 Hivyo akawatuma Posidonio, Theodoto na Matathia kwenda kufanya mkataba na Wayahudi. Tazama sura |