Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Hata hivi, Nikano, akipata sifa za ushujaa wa Yuda na watu wake, na nguvu yao katika vita walivyoipigania nchi yao, aliona shaka juu ya kupimana nguvu kwa vita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Hata hivyo, Nikanori aliposikia jinsi Yuda na watu wake walivyokuwa wanaipigania nchi yao kwa ushujaa na moyo, akaamua kuacha mapigano na kumaliza hayo matatizo kwa njia nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Hata hivyo, Nikanori aliposikia jinsi Yuda na watu wake walivyokuwa wanaipigania nchi yao kwa ushujaa na moyo, akaamua kuacha mapigano na kumaliza hayo matatizo kwa njia nyingine. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Hata hivi, Nikano, akipata sifa za ushujaa wa Yuda na watu wake, na nguvu yao katika vita walivyoipigania nchi yao, aliona shaka juu ya kupimana nguvu kwa vita. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA18 Hata hivyo, Nikanori aliposikia jinsi Yuda na watu wake walivyokuwa wanaipigania nchi yao kwa ushujaa na moyo, akaamua kuacha mapigano na kumaliza hayo matatizo kwa njia nyingine. Tazama sura |