Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kisha kwa amri ya kiongozi wao, waliondoka upesi wakapambana na adui penye mji uitwao Lesau. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, kwa amri ya kiongozi wao, wakatoka mara moja kwenda kumpiga adui karibu na kijiji cha Adasa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, kwa amri ya kiongozi wao, wakatoka mara moja kwenda kumpiga adui karibu na kijiji cha Adasa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kisha kwa amri ya kiongozi wao, waliondoka upesi wakapambana na adui penye mji uitwao Lesau. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA16 Basi, kwa amri ya kiongozi wao, wakatoka mara moja kwenda kumpiga adui karibu na kijiji cha Adasa. Tazama sura |