Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Wayahudi walipopata habari za kuja kwa Nikano na mashambulio ya mataifa, walijitia mchanga kichwani, wakamsihi Yeye aliyewaweka watu wake imara milele, na kuutegemeza urithi wake daima, audhihirishe uweza wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Wayahudi walisikia kwamba Nikanori alikuwa anakuja pamoja na wale watu wa mataifa waliojiunga naye, wakajitia mavumbi kichwani, wakasali kwa Mungu wao aliyekuwa amelichagua taifa lao liwe mali yake milele, na ambaye huwapa ushindi hao watu wake kwa kujionesha kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Wayahudi walisikia kwamba Nikanori alikuwa anakuja pamoja na wale watu wa mataifa waliojiunga naye, wakajitia mavumbi kichwani, wakasali kwa Mungu wao aliyekuwa amelichagua taifa lao liwe mali yake milele, na ambaye huwapa ushindi hao watu wake kwa kujionesha kwao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Wayahudi walipopata habari za kuja kwa Nikano na mashambulio ya mataifa, walijitia mchanga kichwani, wakamsihi Yeye aliyewaweka watu wake imara milele, na kuutegemeza urithi wake daima, audhihirishe uweza wake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA15 Wayahudi walisikia kwamba Nikanori alikuwa anakuja pamoja na wale watu wa mataifa waliojiunga naye, wakajitia mavumbi kichwani, wakasali kwa Mungu wao aliyekuwa amelichagua taifa lao liwe mali yake milele, na ambaye huwapa ushindi hao watu wake kwa kujionesha kwao. Tazama sura |