Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Ndipo wale wa Uyahudi walioshindwa na Yuda zamani walimwendea Nikano kwa haraka, wakitumaini kama dhiki na misiba ya Wayahudi itakuwa faida yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Nao watu wote wa mataifa huko Yudea ambao walikuwa wamemkimbia Yuda, walimiminika kujiunga na askari wa Nikanori, wakifikiri kwamba maafa na balaa walizopata Wayahudi, kwao ingekuwa faida. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Nao watu wote wa mataifa huko Yudea ambao walikuwa wamemkimbia Yuda, walimiminika kujiunga na askari wa Nikanori, wakifikiri kwamba maafa na balaa walizopata Wayahudi, kwao ingekuwa faida. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Ndipo wale wa Uyahudi walioshindwa na Yuda zamani walimwendea Nikano kwa haraka, wakitumaini kama dhiki na misiba ya Wayahudi itakuwa faida yao. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA14 Nao watu wote wa mataifa huko Yudea ambao walikuwa wamemkimbia Yuda, walimiminika kujiunga na askari wa Nikanori, wakifikiri kwamba maafa na balaa walizopata Wayahudi, kwao ingekuwa faida. Tazama sura |