Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 akampeleka na amri zilizoandikwa amwue Yuda na kuvunja jeshi lake, na kumfanya Alkimo kuhani mkuu wa hekalu lililo kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 akamwulie mbali Yuda na kuwatawanya wafuasi wake, na kumfanya Alkimo kuwa kuhani mkuu wa hekalu kuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 akamwulie mbali Yuda na kuwatawanya wafuasi wake, na kumfanya Alkimo kuwa kuhani mkuu wa hekalu kuu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 akampeleka na amri zilizoandikwa amwue Yuda na kuvunja jeshi lake, na kumfanya Alkimo kuhani mkuu wa hekalu lililo kuu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA13 akamwulie mbali Yuda na kuwatawanya wafuasi wake, na kumfanya Alkimo kuwa kuhani mkuu wa hekalu kuu. Tazama sura |