Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 naye mara alimweka Nikano, ambaye alikuwa kwanza juu ya vikosi vya tembo, kuwa kiongozi wa Uyahudi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, mfalme Demetrio mara moja akamteua Nikanori aliyekuwa kamanda wa vikosi vya tembo wake, awe mkuu wa Yudea, akamtuma aende huko Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, mfalme Demetrio mara moja akamteua Nikanori aliyekuwa kamanda wa vikosi vya tembo wake, awe mkuu wa Yudea, akamtuma aende huko Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 naye mara alimweka Nikano, ambaye alikuwa kwanza juu ya vikosi vya tembo, kuwa kiongozi wa Uyahudi, Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA12 Basi, mfalme Demetrio mara moja akamteua Nikanori aliyekuwa kamanda wa vikosi vya tembo wake, awe mkuu wa Yudea, akamtuma aende huko Tazama sura |