Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 14:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Aliposema hayo, rafiki wengine wa mfalme waliomchukia Yuda walizidi kuichochea hasira ya mfalme; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Alkimo alipomaliza kusema hayo, washauri wengine wa mfalme ambao walimchukia Yuda, wakadakia na kuchochea hasira ya Demetrio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Alkimo alipomaliza kusema hayo, washauri wengine wa mfalme ambao walimchukia Yuda, wakadakia na kuchochea hasira ya Demetrio. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Aliposema hayo, rafiki wengine wa mfalme waliomchukia Yuda walizidi kuichochea hasira ya mfalme; Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA11 Alkimo alipomaliza kusema hayo, washauri wengine wa mfalme ambao walimchukia Yuda, wakadakia na kuchochea hasira ya Demetrio. Tazama sura |