Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili

2 Wamakabayo 14:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Ikawa, baada ya miaka mitatu, Yuda na wenzake waliletewa habari ya kuwa Demetrio mwana wa Seleuko, pamoja na jeshi kubwa na merikebu nyingi, ameingia katika bandari ya Tripoli na kuishika nchi yote,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Miaka mitatu baadaye, Yuda na watu wake walipata habari kwamba Demetrio, mwana wa Seleuko alikuwa ameingia bandarini Tripoli akiwa na jeshi lenye nguvu na msururu wa meli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Miaka mitatu baadaye, Yuda na watu wake walipata habari kwamba Demetrio, mwana wa Seleuko alikuwa ameingia bandarini Tripoli akiwa na jeshi lenye nguvu na msururu wa meli,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Ikawa, baada ya miaka mitatu, Yuda na wenzake waliletewa habari ya kuwa Demetrio mwana wa Seleuko, pamoja na jeshi kubwa na merikebu nyingi, ameingia katika bandari ya Tripoli na kuishika nchi yote,

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

1 Miaka mitatu baadaye, Yuda na watu wake walipata habari kwamba Demetrio, mwana wa Seleuko alikuwa ameingia bandarini Tripoli akiwa na jeshi lenye nguvu na msururu wa meli,

Tazama sura Nakili

2 Wamakabayo 14:1
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo