Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mfalme alikuwa akija kwa hasira kali akikusudia kuwatesa Wayahudi kwa yale mateso makali zaidi yaliyowapata zamani za baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mfalme Antioko, kwa kiburi chake, alipania kuja kuwatesa Wayahudi kwa mateso makali zaidi kuliko baba yake alivyokuwa amewatesa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mfalme Antioko, kwa kiburi chake, alipania kuja kuwatesa Wayahudi kwa mateso makali zaidi kuliko baba yake alivyokuwa amewatesa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Mfalme alikuwa akija kwa hasira kali akikusudia kuwatesa Wayahudi kwa yale mateso makali zaidi yaliyowapata zamani za baba yake. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA9 Mfalme Antioko, kwa kiburi chake, alipania kuja kuwatesa Wayahudi kwa mateso makali zaidi kuliko baba yake alivyokuwa amewatesa. Tazama sura |