Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Nayo ilikuwa haki yake, maana alikuwa ametenda dhambi nyingi juu ya madhabahu, ambayo moto wake na majivu yake ni matakatifu; hivyo kwa majivu alikufa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 na hilo ndilo alilostahili. Maana mara nyingi alikuwa ameyatumia vibaya majivu matakatifu ya moto wa madhabahuni hekaluni, na sasa alikufa katika majivu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 na hilo ndilo alilostahili. Maana mara nyingi alikuwa ameyatumia vibaya majivu matakatifu ya moto wa madhabahuni hekaluni, na sasa alikufa katika majivu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Nayo ilikuwa haki yake, maana alikuwa ametenda dhambi nyingi juu ya madhabahu, ambayo moto wake na majivu yake ni matakatifu; hivyo kwa majivu alikufa. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 na hilo ndilo alilostahili. Maana mara nyingi alikuwa ameyatumia vibaya majivu matakatifu ya moto wa madhabahuni hekaluni, na sasa alikufa katika majivu. Tazama sura |