Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Huko huletwa mtu aliyeteka mahekalu au kufanya kosa jingine lililo baya sana, na wote humsukumia mbele kwenye kufa kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Watu wanaoshtakiwa kwa kuikosea miungu, au kwa kufanya kosa kubwa lingine lolote lile, hupelekwa huko mnarani na kusukumizwa chini wafe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Watu wanaoshtakiwa kwa kuikosea miungu, au kwa kufanya kosa kubwa lingine lolote lile, hupelekwa huko mnarani na kusukumizwa chini wafe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Huko huletwa mtu aliyeteka mahekalu au kufanya kosa jingine lililo baya sana, na wote humsukumia mbele ili afe. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA6 Watu wanaoshtakiwa kwa kuikosea miungu, au kwa kufanya kosa kubwa lingine lolote lile, hupelekwa huko mnarani na kusukumizwa chini wafe. Tazama sura |