Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Maana huko kuna mnara wenye urefu wa mikono hamsini ambao umejazwa majivu, na ukingo kimeuzunguka pande zote ambacho chateremkia moja kwa moja kwenye majivu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Katika mji huo umo mnara wenye urefu wa mita 22 hivi kwenda juu. Umejazwa majivu, na, kuzunguka mnara huo, kwa ndani, kuna jukwaa ambalo ngazi zake zateremkia kwenye majivu hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Katika mji huo umo mnara wenye urefu wa mita 22 hivi kwenda juu. Umejazwa majivu, na, kuzunguka mnara huo, kwa ndani, kuna jukwaa ambalo ngazi zake zateremkia kwenye majivu hayo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Maana huko kuna mnara wenye urefu wa mikono hamsini ambao umejazwa majivu, na ukingo kimeuzunguka pande zote ambacho chateremkia moja kwa moja kwenye majivu. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Katika mji huo umo mnara wenye urefu wa mita 22 hivi kwenda juu. Umejazwa majivu, na, kuzunguka mnara huo, kwa ndani, kuna jukwaa ambalo ngazi zake zateremkia kwenye majivu hayo. Tazama sura |