Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Lakini Mfalme wa wafalme alimtia Antioko hasira juu ya mtu huyu mbaya, hata Lisia alipomwarifu ya kuwa huyu ndiye asili ya matata yote, mfalme aliagiza aletwe Beroya na kuuawa kwa kawaida ya mahali pale. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini Mfalme wa wafalme, akamtia Antioko hasira dhidi ya Menelao. Lisia alimhakikishia Antioko kwamba huyo mwovu ndiye aliyekuwa amesababisha shida na matatizo yake yote; kwa hiyo Antioko akaamuru Menelao apelekwe mjini Berea na kuuawa huko kwa mtindo wa hukohuko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini Mfalme wa wafalme, akamtia Antioko hasira dhidi ya Menelao. Lisia alimhakikishia Antioko kwamba huyo mwovu ndiye aliyekuwa amesababisha shida na matatizo yake yote; kwa hiyo Antioko akaamuru Menelao apelekwe mjini Berea na kuuawa huko kwa mtindo wa hukohuko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Lakini Mfalme wa wafalme alimtia Antioko hasira juu ya mtu huyu mbaya, hata Lisia alipomwarifu ya kuwa huyu ndiye asili ya matata yote, mfalme aliagiza aletwe Beroya na kuuawa kwa kawaida ya mahali pale. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA4 Lakini Mfalme wa wafalme, akamtia Antioko hasira dhidi ya Menelao. Lisia alimhakikishia Antioko kwamba huyo mwovu ndiye aliyekuwa amesababisha shida na matatizo yake yote; kwa hiyo Antioko akaamuru Menelao apelekwe mjini Berea na kuuawa huko kwa mtindo wa hukohuko. Tazama sura |