Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Menelao pia alijiunga nao, akajipendekeza kwao kwa maneno mengi, si kwa sababu aliifikiri hali njema ya nchi, ila kwa kuwa alitumaini kupata kazi serikali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Menelao alijiunga nao pia, na kwa unafiki akawahimiza kuendelea na harakati hiyo, si kwa sababu aliitakia mema nchi, ila kwa sababu alitumaini angethibitishwa katika wadhifa wa kuhani mkuu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Menelao alijiunga nao pia, na kwa unafiki akawahimiza kuendelea na harakati hiyo, si kwa sababu aliitakia mema nchi, ila kwa sababu alitumaini angethibitishwa katika wadhifa wa kuhani mkuu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Menelao pia alijiunga nao, akajipendekeza kwao kwa maneno mengi, si kwa sababu aliifikiri hali njema ya nchi, ila kwa kuwa alitumaini kupata kazi ya serikali. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA3 Menelao alijiunga nao pia, na kwa unafiki akawahimiza kuendelea na harakati hiyo, si kwa sababu aliitakia mema nchi, ila kwa sababu alitumaini angethibitishwa katika wadhifa wa kuhani mkuu. Tazama sura |