Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Lisia akafika barazani akayatetea awezavyo, akawashawishi na kuwatuliza na kuwaridhisha. Kisha alikwenda Antiokia. Hivyo ndivyo mfalme alivyokuja na kuondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Lakini Lisia akatoa hotuba ya hadhara, akautetea mkataba huo kwa ufasaha wake wote, akafaulu kuwatuliza watu na kupata kibali chao. Kisha akarejea Antiokia. Hivyo ndivyo uvamizi wa mfalme Antioko na kurudi nyuma kwake kulivyokuwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Lakini Lisia akatoa hotuba ya hadhara, akautetea mkataba huo kwa ufasaha wake wote, akafaulu kuwatuliza watu na kupata kibali chao. Kisha akarejea Antiokia. Hivyo ndivyo uvamizi wa mfalme Antioko na kurudi nyuma kwake kulivyokuwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Lisia akafika barazani akayatetea awezavyo, akawashawishi na kuwatuliza na kuwaridhisha. Kisha alikwenda Antiokia. Hivyo ndivyo mfalme alivyokuja na kuondoka. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA26 Lakini Lisia akatoa hotuba ya hadhara, akautetea mkataba huo kwa ufasaha wake wote, akafaulu kuwatuliza watu na kupata kibali chao. Kisha akarejea Antiokia. Hivyo ndivyo uvamizi wa mfalme Antioko na kurudi nyuma kwake kulivyokuwa. Tazama sura |