Kitabu hiki si kilichoandikwa kwa uvuvio wa Mungu, na si sehemu ya kanoni ya Kikristo wala Tanaki ya Kiyahudi. Kinaonyeshwa kwa madhumuni ya kihistoria na ya utafiti tu. Tazama maelezo kamili 2 Wamakabayo 13:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Watu wa Tolemaisi walichukizwa na mapatano hayo wakawakasirikia Wayahudi na kutaka kuyatangua masharti ya maagano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 halafu yeye mwenyewe akaenda zake Tolemai. Watu wa Tolemai walikuwa wamekasirika sana juu ya mkataba huo wakataka ufutiliwe mbali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 halafu yeye mwenyewe akaenda zake Tolemai. Watu wa Tolemai walikuwa wamekasirika sana juu ya mkataba huo wakataka ufutiliwe mbali. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Watu wa Tolemaisi walichukizwa na mapatano hayo wakawakasirikia Wayahudi na kutaka kuyatangua masharti ya maagano. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA25 halafu yeye mwenyewe akaenda zake Tolemai. Watu wa Tolemai walikuwa wamekasirika sana juu ya mkataba huo wakataka ufutiliwe mbali. Tazama sura |